Karibu katika tovuti ya Halmashauri Manispaa ya Temeke, mahali ambapo utapata taarifa muhimu na utakazohitaji, kama vile mipango ya Maendeleo na utekelezaji wake kwa kila mwaka. Hizi zote ni jitihada za pamoja kati ya Waheshimiwa Madiwani, Watumishi , Jamii na wadau mbalimbali, katika kuleta matokeo chanya kwa wananchi wa Temeke.
Manispaa ya Temeke inapatikana mkabala na uwanja wa Taifa katika makutano ya barabara ya Mandela na Taifa.
Anuani ya Posta: P.O.Box 46343 Dar-es-Salaam
Simu ya Mezani: +255 22-2928132
Simu ya Mkononi: +255 762 532323
Barua pepe: temeke@temekemc.go.tz
Hatimiliki©2018. Halmashauri ya Manipaa ya Temeke